iqna

IQNA

Chuki Dhidi ya Uislamu Marekani
Mwanamke mmoja Kaskazini mwa Texas amekamatwa tena na anakabiliwa na dhamana ya dola milioni moja baada ya kushtakiwa kwa jaribio la kuua watoto wawili wa Kiislamu.
Habari ID: 3479057    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/03

Wito wa chuki’
Kundi la kutetea haki za Waislamu nchini Marekani limekashifu matamshi ya mjumbe wa Israel dhidi ya Waislamu, na kubainisha kwamba kauli kama hizo zitaongeza chuki na unyanyasaji dhidi ya Waislamu mjini New York.
Habari ID: 3479041    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/01

Ubaguzi wa Rangi’
Maoni ya Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kuhusu Wapalestina yamepingwa na majina ya kutetea haki za binadamu kuwa ya "kibaguzi.
Habari ID: 3479037    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/30

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema wananchi wa Iran hawatoinyooshea mkono wa urafiki Marekani ambayo inatumia kila mbinu na hila kwa lengo la kuifuta Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3443189    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/03